EYIGEL (BORESHA MAISHA YA VIJANA)
Enhancing Youth Integration and Gender Equality for Improved Livelihoods Project (EYIGEL)
#BORESHA MAISHA YA VIJANA
KUHUSU MRADI
Mradi wa Enhancing Youth Integration and Gender Equality for Improved Livelihoods Project (EYIGEL) #BORESHA MAISHA YA VIJANA, una lengo la kuimarisha na kuendeleza shughuli za vijana hasa walio katika sekta ya kilimo na shughuli nyingine za ujasiliamali ili kuhakikisha wanafikia malengo yao na kua na uchumi endelevu kupitia utekelezaji wa mpango mkakatiwa Tanzania Youth Coalition 2022-2027, kwa ufadhili wa WE EFFECT.
EYIGEL (Boresha Maisha ya Vijana)
Ili kuelewa maswala ya maisha ambayo vijana wanakabiliwa nayo katika eneo la mradi. Tanzania Youth Coalition (TYC) chini ya mradi huu mnamo Julai 2023 ulifanya utafiti wa msingi ili kugundua changamoto zinazo zikumbu vikundi vya vijana na vijana wenyewe
Jedwali linaloonekana hapo mbele ni
kiwango cha vijana kwenye jamii wenye uelewa na kuzingatia masuala ya jinsia na maendeleo ya vijana katika kazi na maisha hii ni kutokana na utafiti ulio fanywa na TYC chini ya mradi wa EYIGEL (Boresha Maisha ya Vijana) katika mikoa minne Mwanza,Kilimanjaro,Iringa na Dodoma
Maendeleo ya Mradi
Hapa chini ni idadi ya vijana ambao tumewafikia hadi sasa kwa njia ya utafiti wa msingi juu ya hali ya mipango ya maisha ya vijana katika wilaya nane za majaribio, mafunzo juu ya ujenzi wa jinsia katika mipango ya maisha ya vijana, ujumuishaji wa vijana wa sera, uwasiliano wa vyombo vya habari na utaratibu wa jukwa juu ya maisha ya vijana
100
Youth Formation Reached
2035
Formation's Membership
14-35
Age range
880
Male
1155
Female